SONG TRANSLATION : NIPENI KURA ZENU!!! – Pewa Abagenge

pewa abagenge

Pewa Abagenge is a “new skool” genge artist based in Nairobi. You can find his music on soundcloud, reverbnation and youtube.

Translation provided by Jaymo Kusini from Audio Kusini Studio in Kahawa (Nairobi, Kenya).

[EDIT 10 Dec. 2013: The original music video appears to have been removed. you can still listen to the song here]:

NIPENI KURA ZENU – Pewa Abagenge (Audio Kusini)

CHORUS

NIPENIKURA ZENU…:TUMEKATAA;
(GIVE ME UA VOTES…WE’VE REFUSED)

NIPENI KURA ZENU…;TUMEKATAA;
(GIVE ME YOUR VOTES…WE’VE REFUSED)

NIPENI KURA ZENU…TUMEKATAA
(GIVE ME YOUR VOTES…WE’VE REFUSED)

WANA SIASA BURE TUMEKATAA….
(WE DON’T WANT ROGUE POLITICIANS

VERSE 1

MARA INGINE TENA NIMEKUJA KUOMBA KURA
(ITS YET ANOTHER TIME AVE COME TO ASK FOR YOUR VOTES)

NASKIA MNAKUFA NJAA MI NTAWAPATIA CHAKULA
(I HEAR YOU ARE DYING OF HUNGER AL BRING U FOOD)

NIPATIENI KURA MI NTAWAPATIA UNGA
(GIVE ME YOUR VOTES AL GIVE U FLOUR)

I.D.P MSIJALI NTAWAJENGEA NYUMBA
(I. D. P’S DON’T WORRY AL BUILD U HOUSES)

NTAWAPATIA PESA KILA KITU PIA SHAMBA
(I’LL GIVE U MONEY EVERYTHING INCLUDING SHAMBA’S)

BARABARA MBAYA ZOTE JOO MI NTAJENGA
(I’LL BUILD ALL IMPASSABLE ROADS)

NTAFUNIKA MASHIMO LAMI PIA NTAWEKA
(I’LL FILL ALL THE POT HOLES, AND TAMACK THE ROADS)

MASOMO YATAKUWA BURE HAMTA LIPA HATA SHILINGI
(THERE WILL BE FREE EDUCATOIN YOU WONT PAY A CENT)

CHUO KIKUU HIGH SCHOOL PIA SHULE YA MSINGI
(UNIVERSITIES HIGH SCHOOL AND ALSO PRIMARY SCHOOL)

NIPATIENI KURA MI NTALETA HAPA MAJI
(GIVE ME YOUR VOTES I’LL BRING YOU WATER )

MTAKUNYWA YA DASANI MTA OGA YA MFEREJI
(U WILL DRINK BOTTLED WATER AND SHOWER WITH TAP WATER)

AHH VIJANA YA MAJI
(AHH BOYS I GIVE YOU SOMETHING FOR LIQUOR)

ILIKUWA UWONGO ILE STORY YA MADAWA
(IT WAS I LIE ABOUT THE DRUGS STORY)

LAKINI HOSPITALINI HAPA MI NTALETA MADAWA
(BUT I’LL SUPPLY DRUGS TO HOSPITALS)

NIPATIENI KURA SI MNA JUA SI NI KABILA MOJA
(GIVE ME YOUR VOTES BECAUSE WE ARE FROM ONE TRIBE)

HIZO KURA ZENU MI NAZINGOJA…
(AM WAITING FOR YOUR VOTES)


CHORUS

NIPENIKURA ZENU…:TUMEKATAA;
(GIVE ME UA VOTES…WE’VE REFUSED)

NIPENI KURA ZENU…;TUMEKATAA;
(GIVE ME YOUR VOTES…WE’VE REFUSED)

NIPENI KURA ZENU…TUMEKATAA
(GIVE ME YOUR VOTES…WE’VE REFUSED)

WANA SIASA BURE TUMEKATAA….
(WE DON’T WANT ROGUE POLITICIANS)

NIPENIKURA ZENU…:TUMEKATAA;
(GIVE ME UA VOTES…WE’VE REFUSED)

NIPENI KURA ZENU…;TUMEKATAA;
(GIVE ME YOUR VOTES…WE’VE REFUSED)

NIPENI KURA ZENU…TUMEKATAA
(GIVE ME YOUR VOTES…WE’VE REFUSED)

WANA SIASA BURE TUMEKATAA….
(WE DON’T WANT ROGUE POLITICIANS)

VERSE 2

SIWEZI KUPATIA KURA YANGU NIMEKATAA
(I WONT GIVE YOU MY VOTE I’VE REFUSED)

ULIIBA MAFUTA YA GARI ULIIBA NGATA
(YOU STOLE PETROL YOU ALSO STOLE PARRAFIN)

WE NI MWIZI STAOGOPA KUSEMA HODARI
(YOU ARE A THIEF I WONT FEAR TO SAY BOLDLY)

PESA YA SHULE MAHINDI PIA KABURI
(SCHOOL FEES MAIZE AND ALSO CEMETRY)

NILIKUWA NA BIASHARA MKABOMOA KIBANDA
(I HAD A BUSSINESS WHICH YOU DEMOLISHED)

KAZI KWA VIJANA MISHAHARA MNAPENDA
(JOB TO THE YOUTHS AND YOU TAKE ALL THE CASH)

TUMECHOKA NA VIONGOZI KILA SIKU MASAGA
(WE ARE TIRED OF POLITICIANS WHO ALWAYS HAVE SCANDALS)

KURA YANGU AFADHALI NIPEE BOY ANA SWAGGER
(I’D RATHER GIVE MY VOTE TO A YOUNG DUDE WITH A SWAGGER)

UNAPENDA UKABILA ULILETA VITA KENYA
(YOU ARE A TRIBAL LEADER YOU BROUGHT WAR IN KENYA)

WENGI WALIUMIA WENGINE WALISHA GENYA
(MANY GOT HURT AND OTHERS DIED)

GAZETI YA JANA NILIKUCHEKI ULIKUWA HAPO
(I SAW YOU ON YESTERDAYS PAPER)

NASKIA UNA KESI KENYA INGINE NA OCAMPO
( I HEAR YOU HAVE A CASE IN KENYAN COURTS AND ALSO THE HAGUE)

NAJUA MTOTO WAKO SIKU HIZI ANASOMA ULAYA
(I KNOW YOUR CHILD STUDIES IN EUROPE)

ULIIBA SCHOOL FEES KWANI NANI HUONI HAYA
(ARE YOU NOT ASHAMED THAT YOU STOLE OUR SCHOOL FEES)

WANA SIASA BURE SAA HII TUSHA WAJUA
(ROGUE POLITICIANS NOW WE KNOW YOU)

TUMECHANUKA RAUNDI HII HATUTA WACHAGUA
(WE ARE NOW ENLIGHTENED THIS TIME ROUND WE WON’T VOTE YOU IN)


CHORUS

NIPENIKURA ZENU…:TUMEKATAA;
(GIVE ME UA VOTES…WE’VE REFUSED)

NIPENI KURA ZENU…;TUMEKATAA;
(GIVE ME YOUR VOTES…WE’VE REFUSED)

NIPENI KURA ZENU…TUMEKATAA
(GIVE ME YOUR VOTES…WE’VE REFUSED)

WANA SIASA BURE TUMEKATAA….
(WE DON’T WANT ROGUE POLITICIANS)

NIPENIKURA ZENU…:TUMEKATAA;
(GIVE ME UA VOTES…WE’VE REFUSED)

NIPENI KURA ZENU…;TUMEKATAA;
(GIVE ME YOUR VOTES…WE’VE REFUSED)

NIPENI KURA ZENU…TUMEKATAA
(GIVE ME YOUR VOTES…WE’VE REFUSED)

WANA SIASA BURE TUMEKATAA….
(WE DON’T WANT ROGUE POLITICIANS)


VERSE 3

NAITWA PEWA WAKENYA VERSE THREE NI BARUA
(I AM PEWA AND THIS THIRD VERSE IS MY LETTER TO YOU KENYANS)

NIMEWAANDIKIA VITU KADHAA PIA MNAFAA KUJUA
(I’VE WROTE AFEW THINGS YOU ARE SUPPOSED TO KNOW)

NIMEANDIKIA WAWESH OTI NA PIA WAMBUA
(AM WRITING TO ALL TRIBES IN KENYA)

KENYA NI MOJA NASEMA TUACHE UKABILA
(KENYA IS ONE LET’S AVOID TRIBALISM)

NIITE BROTHA HATA KAMA SIFANANANGI NA WEWE
(CALL ME BROTHA EVEN THOUGH WE DON’T LOOK ALIKE)

WE NI BROTHA SITA KULINGA NA MAWE
(YOU ARE MY BROTHA I WON’T FIGHT YOU)

USINIPATIE KURA YAKO JUU MI MGENGE
(DON’T GIVE YOUR VOTE BECAUSE OF MY TRIBE)

NIPE KURA YAKO NDO HII KENYA NIIIJENGE
(VOTE ME IN SO THAT I CAN BUILD THIS KENYA)

VIJANA ROUNDI ITABIDI TUWE WAJANJA
(FELLOW YOUTHS THIS TIME ROUND LETS BE CIVILISED)

TUSIKUBALI KUTUMIKA NA HAWA WANA SIASA
(WE SHOULDN’T ACCEPT TO BE MISSUSED BY THESE POLITICIANS)

NAJUA LABDA ULIKOSEA JIRANI YAKO KITAMBO
(I KNOW YOU MIGHT AVE WRONGED YOUR NEIGHBOUR BEFORE)

MWAMBIE POLE MWAMBIE ASAHAU ILE MAMBO
(TELL HIM SORRY AND ASK HIM TO FORGET THE PAST)

NA KURA YAKO USI PATIE MWANA SIASA BURE
(AND DON’T GIVE YOUR VOTE TO ROGUE POLITICIANS)

ULE HAKUJANGI MASHINANI YULE HULALA BUNGE
(THE ONE WHO DOESN’T COME TO THE VILLAGE THE ONE WHO SLEEPS ON HIS JOB)

AKI KUIOMBA KURA MWAMBIE TUMEKATAA
(IF HE ASKS FOR YOUR VOTE TELL HIM WE’VE REFUSED)

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s